Wednesday, November 9, 2011

Mbagala

Mbagala (Diamond)
Kamwambie
Diamond
Swahili
Naseem Abdul
2010
Mhhh, mmmhhhh
Verse 1
Busara na upole
Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama yangu, Mama
Vyote hukuvijali, hukuona silingani kabisa kuwa na wewe
Kwa kuti na mkole, ukataka kabisa na shina la penzi langu mama
Eki kisa maali, ukaona bora uniache mimi na uolewe
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
N'liumia sanaa, sanaa
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
Niliumia sanaa, niliumia sanaa, sanaa
Chorus 2x
Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalaaa
Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi
Verse 2
Ungejua jinsi gani
Machozi n'livyolia kwa uchungu wa penzi langu na
Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni
Hata kupendwa sitamani lyrics from museke.com
Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwanga ma
Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni
Naskia hivi sasa unamtoto anaitwa mamu
Vile akinuna mpaka atabasamu
M'mefanana sanaa, sanaa
Mi mwenzako tena mapenzi sinahamu
Tena nampango wa kuhama Dar Es Salaam
Nataka niende mbaali, niepuke vita na walimwengu
Mi mwenzenu siwezi
Repeat Chorus 2x
Mbagala, mbagala, mbagala, mbagala
uk'ona mapenzi siwezi
Mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), mbagala
uk'ona mapenzi siwezi
Repeat Chorus 2x
I'm back, ladies, I'm back
Bob Junior
Mr. Chocolate Flava
Yo, I'm back, Diamond, I'm back
© Diamond
:

No comments:

Post a Comment